1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking Icon公式アプリ
1K+ダウンロード
10MBサイズ
Android Version Icon4.1.x+
Androidバージョン
2.0(26-02-2021)最新バージョン
-
(0 レビュー)
Age ratingPEGI-3
ダウンロード
詳細レビューバージョン情報
1/6

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)の説明

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - バージョン 2.0

(26-02-2021)
他のバージョン
新機能はSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

まだ、レビューや評価はありません。 して最初のレビューワーになってください。

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)- APK情報

APKバージョン: 2.0パッケージ: com.gazeti.digitalwebbased
Androidでの対応: 4.1.x+ (Jelly Bean)
開発者:Tanzania Tech Mediaプライバシーポリシー:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.html許可:28
名前: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)サイズ: 10 MBダウンロード: 127バージョン : 2.0リリース日: 2021-02-26 13:33:53
最小スクリーン: SMALLサポートされたCPU: パッケージ ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1署名: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66最小スクリーン: SMALLサポートされたCPU: パッケージ ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1署名: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)の最新バージョン

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
127 ダウンロード10 MB サイズ
ダウンロード

他のバージョン

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
127 ダウンロード8.5 MB サイズ
ダウンロード
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
127 ダウンロード8.5 MB サイズ
ダウンロード
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
127 ダウンロード7.5 MB サイズ
ダウンロード
appcoins-gift
ボーナスゲームさらに多くの報酬を獲得!
さらに